Isaiah 54:13-14


13 aWatoto wako wote watafundishwa na Bwana,
nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu.

14 bKwa haki utathibitika:
Kuonewa kutakuwa mbali nawe;
hutaogopa chochote.
Hofu itakuwa mbali nawe;
haitakukaribia wewe.
Copyright information for SwhKC